mkuu wa wilaya dodoma mjini

simon odunga Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimpokea Mweneyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete alipowasili Makao Makuu ya CCM, Jengo la White House, mjini Dodoma, kufunga mafunzo kwa watendaji na viongozi wa CCM ngazi za wilaya na mikoa, jana, Oktoba 24, Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubuia Kikao cha Kazi kwa Viongozi wa Mikoa, Wilaya na Halmashauri katika ukumbi wa Chimwaga Chuo Kikuu cha Dodoma Oktoba 2, 2014 . Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Wilaya ya Dodoma Mjini, Robert Muwinje amevuliwa wadhifa wake. Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini Mh.Josephat Maganga amewatoa hofu wakazi wa Wilaya hiyo juu ya upatikanaji wa huduma ya maji huku akisema kuwa Mamlaka ya maji safi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) inafanya jitihada kubwa kuhakikisha inaondoa tatizo la maji jijini humo. Mkuu wa Wilaya ya Dodoma,Patrobas Katambi,akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Zinje Kata ya Zuzu wakati akizindua Mradi wa ujenzi wa maghala ya kuhifadhia mafuta na gesi uliozinduliwa na TPDC katika eneo la Zuzu Mkoani Dodoma. Nzega. Josephat maganga na Mkuu wa Mauzo Vodacom Kanda ya Kati, Grace Chambua. Tupigie 0777 424152 au tuandikie (email) othmanmaulid@gmail.com Kwa Habari, Picha na Matukio Tembelea ZanziNews Tangaza nasi kwa bei nafuu (advertise with us ). Mgombea mwenza wa Chadema, Salum Mwalimu amesema atafikiria kumpa ukuu wa wilaya mgombea ubunge wa CCM Nzega mjini, Hussein Bashe ikiwa atakubali kumuachia jimbo hilo mgombea wa Chadema, Mary Atonga. Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Taifa wa Parole Augustine Mrema. Alisema Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Christine Mndeme aliyekutana na makundi mbalimbali kwa ajili ya mapokezi ya Waziri Mkuu. Hata hivyo, viongozi wa CCM wamekuwa na kigugumizi cha kueleza mkasa kuhusu kiongozi huyo licha ya taarifa kueleza kuwa alikuwa na makosa ya kiutumishi ambayo yeye (Muwinje) amesema hayajui. Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi akikabidhi mfano wa hundi kwa malipo ya fidia kwa wananchi wa Kijiji cha Zinje Kata ya Zuzu waliotoa maeneo yao kupisha ujenzi wa mradi huo. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Madiwani na Watendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga kwenye ukumbi wa Spika .Bungeni mjini Dodoma Mei 27, 2014.Walipotembelea Bunge kwa mwaliko wa Mbunge wao, Suleiman Nchambi. August 3, 2018 Mkuu wa mkoa wa Dodoma Dr Binilith Mahenge amewaapisha Wakuu wapya wa Wilaya Patrobas Katambi ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Dodoma mjini pamoja na Mwanahamisi Mukunda ambaye amekuwa Mkuu wa Wilaya ya Bahi ambapo amewataka kuacha kukaa maofisini tu na badala yake waende mtaani kutatua kero za wananchi. taarifa ya dc chemba na kaimu mwenyekiti wa kamati ya nane nane kanda ya kati 2017 mhe. Katika uchaguzi huo Mkuu wa wilaya ya Chemba Simon Odunga anachuana na Mwandishi wa New Habari Corporation Hamis Mkotya kwenye nafasi ya Mjumbe wa Mkutano Mkuu Taifa. Dodoma. Hata hivyo Kigaila amesema kutokana na pingamizi hilo alipokea majibu kutoka kwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Dodoma akidai kuwa pingamizi hilo amelitupilia mbali kwa sababu maelezo yake yanahusu watumishi wa … KAIMU Mkuu wa wilaya ya Dodoma Mjini, Betty Mkwasa (kulia) akimkaribisha Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya wanawake, Twiga Stars, Charles Boniface Mkwasa kwenye hoteli ya Dodoma mjini Dodoma juzi. Katibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi CCM mkoani Mwanza, Simon Mangelepa, akizungumzia maandalizi ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalumu wa chama hicho kutoka mkoani Mwanza, ambao tayari wameanza kuwasili mkoani Dodoma kwa ajili ya Mkutano huo ambao unatarajiwa kufanyika Jumamosi Julai 23,2016 ambapo pamoja na mambo mengine pia Mkutano huo ni maalumu kwa ajili ya uchaguzi wa Mwenyekiti wa … Mbunge wa jimbo la Dodoma mjini Anthony Mavunde akizungumza katika mkutano Mkuu wa uchaguzi CCM wilaya ya Dodoma mjini. Kushoto ni Mkugenzi Mtendaji wa Makampni ya ASAS na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM wa Mkoa wa Iringa, Salim Abri na katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda hicho, Fuad Abri. Wanawake wa UWT Wilaya ya Dodoma Mjini wakionesha picha za Mgombea Urais wa CCM, Dk John Magufuli ikiwa ni ishara ya kumchagua kwa kura za kishindo kwenye uchaguzi mkuu Oktoba 28. Alisema kwa mujibu wa Mavunde jinsi alivyojaza fomu ya tume yeye bado ni mkuu wa wilaya na hivyo amekiuka sheria na kuudanganya umma na kukiuka kiapo hivyo hastahili kuwa mgombea. MUDA WA KAZI Jumatatu - Ijumaa saa 1:30 Asubuhi - 03:30 Alasiri ANUANI P.O BOX 1249 DODOMA - TANZANIA MAWASILIANO Simu: + (026) 2324417 Faksi: + (026) 2324817 / 2321550 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary (kulia) wakitazama maziwa yaliyofungashwa wakati walipotembelea kiwanda cha maziwa cha ASAS cha mjni Iringa, Septemba 25, 2019. Mshindi wa tano wa promosheni ya Vodacom Tanzania, Shangwe Shangwena, William Mpachilla mkazi wa Ipagala mjini Dodoma akifungua mlango wa gari mpya aliyojishindia kwenye promosheni hiyo. Kwa upande wake, Mkuu wa wilaya Dodoma mjini Christine Mndeme anachuana na wagombea 11 ambao wamejitokeza kwenye kiny’ang’anyiro hicho. 1. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) (Visited 106 times, 1 visits today)Share this post Ilitangazwa kuwa mji mkuu wa Tanzania mwaka 1973, lakini mnamo tarehe 26 Aprili 2018 katika maadhimisho ya miaka 54 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar, rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya tano John Magufuli aliupandisha hadhi na kutangaza rasmi kuwa Dodoma ni Jiji. Mkuu wa Wilaya ya Dodoma,Patrobas Katambi,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuzindua Mradi wa ujenzi wa maghala ya kuhifadhia mafuta na gesi uliozinduliwa na TPDC katika eneo la Zuzu Mkoani Dodoma. maagizo ya mkuu wa mkoa wa dodoma wakati akifunga mafunzo ya polisi jamii kwa wilaya ya dodoma mjini julai 2o17 august 4th, 2017. maagizo ya mkuu wa mkoa wa dodoma wakati akifunga mafunzo ya polisi jamii kwa wilaya ya dodoma mjini julai 2o17. Mkuu wa Shule..0717699139 ... KONGWA MKOA DODOMA. Katibu wa UWT Wilaya ya Dodoma Mjini, Diana Madukwa akizungumza na akina Mama wa Kata ya Mpunguzi (hawapo pichani) alipofanya nao mkutano wa ndani wa kutafuta kura za CCM Wilaya hiyo. Mkutano wa Marafiki wa Elimu Taifa uliofanyika Mjini Dodoma 24-26 Agost,2011. Mwalimu ameeleza hayo leo Jumamosi Oktoba 24, 2020 katika mkutano wa kampeni uliofanyika Nzega mjini mkoani Tabora. Mkuu wa Wilaya ya Bahi ambaye pia ni Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini Bibi Betty Mkwasa akisoma hotuba ya ufunguzi wa Mjadala wa Katiba ulioandaliwa na DUNGONET kwa ufadhili wa shirika la The Foundation for Civil Society la jijini Dar Es Salaam. Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini (DC), Josephat Maganga “Kushiriki katika uchaguzi ni fursa kwa wananchi kuchagua viongozi bora hivyo basi taasisi za kidini zinapaswa kuhimiza amani na upande wa vyama vya siasa vizingatie usawa na haki kwa wanawake kushiriki kikamilifu,” alisema Maganga. Wilaya Dodoma Mjini Wilaya ya Dodoma ina Hospitali 4 Vituo vya Afya 10 na Zahanati 52 kwa sasa. (Na mpiga picha wetu). Sehemu kubwa ni nyanda za juu kati ya mita 830 hadi 2000 juu ya UB.. Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa Mkoa wa Dodoma ilihesabiwa kuwa 2,083,588.. Kuna wilaya saba zifuatazo: Wilaya ya Bahi, Wilaya ya Chamwino, Wilaya ya Chemba, Wilaya ya Dodoma Mjini, Wilaya ya Kondoa, Wilaya ya Kongwa, Wilaya ya Mpwapwa. 24/09/2019 . ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi, ameeleza sababu ya kuchukua fomu kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuteuliwa kuwania ubunge wa Shinyanga Mjini. MKUU wa wilaya ya Dodoma Mheshimiwa Christine Mndeme amekubali jukumu la kuwa mlezi wa vikundi mbalimbali vya usafi na utunzaji wa Mazingira vilivyopo katika Manispaa ya Dodoma, hatua ambayo pia itamuweka karibu zaidi na vikundi hivyo katika kazi muhimu ya kuuweka mji huo katika hali ya usafi na kuvutia ikizingatiwa kuwa ndio Makao Makuu ya Nchi na tayari Serikali imeshahamia mjini humo. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa wilaya ya Dodoma Mjini, Patrobas Katambi (kushoto) na Mkuu wa wilaya ya Bahi, Mwanhamisi Mkunda wakati alipowasilli kwenye uwanja wa Ndege wa Dodoma akitoka Dar es salaam, Juni 27, 2019. Mkwasa ni mume wa Betty. Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana na Ajira Mhe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). RAIS KIKWETE AHUTUBIA NA KUFUNGUA KIKAO CHA KAZI KWA VIONGOZI WA MIKOA, WILAYA NA HALMASHAURI MJINI DODOMA – OKTOBA 02, 2014. Nafurahi kukutaarifu kuwa mwanao amechaguliwa kujiunga na kidato cha tano katika shule hii mwaka 2018 tahasusi ya HGL/PCB.Shule ya sekondari Kongwa ipo umbali wa kilometa mbili (2) Kusini mwa mji wa Kongwa..Usafiri wa basi kutoka mjini Dodoma Anayeshuhudia nyuma kulia ni Mkuu wa wilaya ya Dodoma, Mhe. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mofisa na Askari Magereza baada ya kutembelea Gereza Kuu la Mkoa wa Dodoma la Isanga mjini Dodoma Oktoba 5, 2016. Mganga Mkuu Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma, Dk Ibenzi Ernest akimuongoza Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Profesa Mabula Mchembe (aliyevaa kaunda suti) na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tamisemi, Dk. Mkuu wa wilaya ya Dodoma Patrobas Katambi leo Jumatano Julai 15,2020 amechukua Fomu kuomba kugombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kufanya idadi ya wanachama wa CCM waliochukua fomu kufikia 48 hadi leo majira ya saa 10 jioni. Eneo lote la mkoa lina km² 41,310. Leave a reply. Katambi amesema iwapo atafanikiwa kuteuliwa na chama na kushinda ubunge katika jimbo hilo, ataisaidia Shinyanga kupata maendeleo kama alivyofanya Dodoma. Hospitali ya Mkoa Hospitali ya Mkoa ilikamilia kujengwa mwaka 1927 kama kituo cha majeruhi wa kivita. Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Venance Mabeyo, akiongozana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Uratibu, Bunge na Watu Wenye Ulemavu), Mhe. Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifungua rasmi mafunzo ya wakuu wa wilaya wapya yanayofanyika katika ukumbi wa hosteli ya St.Gaspar mjini Dodoma Machi 17,2015 Kushoto ni Waziri wa TAMISEMI Mhe.Hawa Ghasia,Watatu kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Chiku Galawa na kulia ni Naibu waziri TAMISEMI Mhe.Aggrey Mwanri Ilianza na Majengo ya mawe machache yakaongezeka kidogo kidogo mfano OPD, Jengo Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Dodoma mjini Patribas Katambi amechukuwa form kuwania kiti cha ubunge shinyanga mjini , patrobas katambi amekuwa mtiania wa 49 shinyanga mjini huku wanaitajwa kuwa na nguvu ndani ya chama wakitajwa ni gasper kileo na Steven masele. TANZANIA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO WA KIMATAIFA WA SHERIA KATI YA AFRIKA NA ASIA Tanzania inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Mashauriano ya Masuala ya Kisheria ya Nchi za Asia na Afrika (ASIA-AFRICAN LEGAL CONSULTATIVE ORGANISATION (AALCO) utakaofanyika nchini kuanzia tarehe 21 hadi 25, Oktoba jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Dodoma Mjini, Meja Mstaafu Johnick Risasi (kushoto) na Kaimu Katibu wa CCM Wilaya hiyo, Diana Madukwa wakipata maelezo ya Stendi ya Mabasi ya Jiji la Dodoma kutoka kwa uongozi wa stendi hiyo walipofanya ziara ya kukagua mradi huo. Jenista Mhagama wakikagua maandalizi ya mwisho ya maadhimisho ya Sherehe za Miaka 53 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwenye uwanja ya Jamhuri mjini Dodoma.

Mourinho On Pogba, Baden-württemberg Silvester Regeln, Chelsea - Leeds United Pronostic, Enfys Nest Gear, Unfall Steinbach Oberhöchstadt, Duje Caleta Car Stats,

Schreibe einen Kommentar

Deine E-Mail-Adresse wird nicht veröffentlicht. Erforderliche Felder sind mit * markiert.